MpigfilimbiwaHamelin
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 652
- 169
Wakuu,salaams!
Nimeona niwaletee hili:
Biashara nyingi - investments hupewa majina ya kibiashara. Sasa katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa hawa ndugu zetu- Wachaga na Waarabu wanapenda sana kuweka majina yao au sehemu wanazotoka katika biashara zao. Najiuliza sababu ni nini? kuogopa kudhulumiwa? kupoteza biashara? au kujisifia nakujipiga promo tu?
Biashara kama za magari, radio stations, maduka hata viwanda utakuta: Mtei Express, Mohamed Trans, Bin Salim, Sawaya coach, Kidia One, Al-Hamza, Bin-Slum Tyres, Rombo Hotel, Machame Luxury, Allys, Sumry, Shabiby, Abood, Mushi Electronics n.k. Why? nijuzeni wakuu