Wachaga Wakaribia Kurudi

Wachaga Wakaribia Kurudi

Mechi ya Pamba Mwanza na Ushirika Moshi ilikuwa bonge la mechi hakika Pamba unakutana na kina Kitwana Suleiman, Hamza Mponda. Bea Simba, George Masatu, Hussein Masha, Khalfan Ngasa, Abdallah Boli, Madata Lugibisa uku upande wa ushirika unawakuta kina Willy Martin, Ephraim Mwakalukwa a.k.a Best Malidadi, Often Martin, Kaunda Mwakitope, David Rogers, Steven Nyenge ilikuwa balaa.

dah, Kaunda Mwakitope mara ya mwisho alikua Mhasibu Halmshauri fulani mkoani Pwani oh Utete
 
hongera zao unapoongerea soka la kirilimanjaro unanikumbusha wapinzani wetu wa soka ushirika ya moshi je unawaza jua timu gani hapa tanganyika ilikua ikutana na ushrika soka linakua kama lile la barca na atretical?

Ushirika chini ya kocha Dan Koroso
 
Mbona hawajatimia? Naona wapo 10 tu au mwenzao mmoja ndo anawapiga picha wenzake?
 
haikambe, mkuu hapa title nyingine huwa ni kuvutia wasimaji ntu, usikonde sana

Ni kweli lakini lazima uma wa Watanzania utuelewe kuwa hata Nchi yetu inapokuwa haina pesa juhudi za Wachaga kukimbia huku na kule mfano India, Uturuki, China ndio njia ya kuongeza faida na kutunisha hazina ya serikali kupitia kodi mbalimbali tunazolipa
 
Back
Top Bottom