Wachaga nomaaaa,:-@

maslulkat

Senior Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
135
Reaction score
108
Jamaa 1 alienda kufanyiwa upasuaji hospitalini akachomwa dawa ya nusu kaputi kwa ajili ya upasuaji huo akawa kama kafa kabisa doctor alivyomaliza kumfanyia akawa anaondoa vitu kwa bahati mbaya akaangusha mkasi jamaa akainuka gafla aisee doctor kama sikosei mia mbili yangu imeanguka ni2nzie ntaichukua baadae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…