Wachaga mnakwama wapi?!

Anayebisha uchawi haupo wee mwangalie tu usibishane naye... Yani kama kombora la Iran badala ya kwenda kwenye war base ya US likaenda kwenye ndege yao[emoji23]
Oyaa Moderator hii thread imeanzishwa na Sexer nika comment wa pili,iweje tena mfanye mimi ndie OP

dodge

Jr[emoji769]
 
Hahah hivi kumbe mambo ya kilingeni yanawezekana hadi kwny mambo ya tech?
Anayebisha uchawi haupo wee mwangalie tu usibishane naye... Yani kama kombora la Iran badala ya kwenda kwenye war base ya US likaenda kwenye ndege yao[emoji23]

Jr[emoji769]

dodge
 
Hvi mkuu kuna namna yoyote ya kujikinga na hawa jamaa wasikuzuru au kukupiga shambulio yan upate kama kinga flan

Tofaut na mwenyez mungu je kuna njia gan zingnezo?
Anayebisha uchawi haupo wee mwangalie tu usibishane naye... Yani kama kombora la Iran badala ya kwenda kwenye war base ya US likaenda kwenye ndege yao[emoji23]

Jr[emoji769]

Sent using Samsung s10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…