Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,301
- 40,931
😁😁Kuna mtu analiwa hapo!!
Sio kweli banaaa. Hapo kuna watu wanakulanaKuna mtu analiwa hapo!!
Ni balaa mimi huwa sifungagi mlango, naacha wazi tuu natafuna mdogo mdogo.Mmmh. Mbona wameenda mbali sana kuweka hiyo Alama hapo , wakati utofauti wa viatu tu ulikuwa alama tosha na hasa kama mlango ungefungwa. Au mlango upo wazi?
Hivyo unaweka iko kidude cha alama nje. 😜Ni balaa mimi huwa sifungagi mlango, naacha wazi tuu natafuna mdogo mdogo.
Ahaa haaaaHivyo unaweka iko kidude cha alama nje. [emoji12]
Una jina zuri ( id yenye jina zuri)Mmmh. Mbona wameenda mbali sana kuweka hiyo Alama hapo , wakati utofauti wa viatu tu ulikuwa alama tosha na hasa kama mlango ungefungwa. Au mlango upo wazi?