Wachache sana wanaweza kufanya hivi.

Wachache sana wanaweza kufanya hivi.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
papa.jpeg
 
Eee Mwenyezi Mungu msaidia......!!!!
 
kwa upande wa science kama huna immunity ya nguvu lazima upate maambukizi.
Kama upo kiimani uwe fit.
 
Sijaelewa hiyo picha ni ugonjwa gani na uvimbe upo eneo gani
 
huu sijui ndo ugonjwa gani
 
Mungu amsaidie mgonjwa huyo na apone ugonjwa wake maana anaonesha ni mtu wa imani pia.

Eeee Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema msaidie.
 
Tusiwadharau na kuwatenga wagonjwa...Linaweza kumkukuta yoyote!!
 
mbona kama huo mkono uliopo hapo si wa huyo papa?
 
Back
Top Bottom