1. Umepatwa na ugonjwa wa zinaa, unaulizwa ilikuwaje umeukwaa wakati ulionekana ukinunua kondom??? Jibu,..... Kondom ilipasuka, (moyoni unajua fika kuwa kondom uliisunda chini ya mto)
Binadamu kwa kukopi na kupesti ni kiboko. Mliwaona mbwa, mkaiga style yao mkaita dog style. Sasa mnaona kobe wana magamba mnataka muwaige.
Ndio maana hamsikii utamu