Wacha nijiajiri kwa ujuzi nilonao

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,100
8,729
Wanajamvi heri ya pasaka,

Mimi ni kijana wa kitanzania, ni mzoefu wa mikopo,kwa okipindi cha miaka mitano, kwa sasa nimeamua kujiajiri, katika kutoa ushauri jinsi ya kukopa, mbinu za kulipa mkopo uliokopa, taratibu za kibenki katika kuomba mkopo.

Zaidi ninatoa elimu jinsi ya kuanzisha mikopo ya nyumba au kuboresha makazi kwa yeyote mwenye uhitaji naomba tuwasiliane.
 
Mkuu umewahi kukopa wewe? Kwanini pamoja na kutoa elimu hii nzuri yenye manufaa ingekuwa vema tuje tuone jinsi wewe ulivyo jiajiri kwa kukopa na kuendesha miradi mikubwa
 
mimi ni expe

mimi sikuwai kukopa ila nimekuwa nikifanya kzi ya kukopesha nikiwa nimeajiriwa kwa mda mrefu, tafadhali sana mimi naamini ili ufanikiwe lazima ukope ila kama ni mfanyabiashara tafadhali mimi si mfanya biashra ila ninaweza kushauri sana wafanya biashra baada ya kufanya kazi kwa muda wa miaka 5
 
Wanajamvi heri ya pasaka,

Mimi ni kijana wa kitanzania, ni mzoefu wa mikopo,kwa okipindi cha miaka mitano, kwa sasa nimeamua kujiajiri, katika kutoa ushauri jinsi ya kukopa, mbinu za kulipa mkopo uliokopa, taratibu za kibenki katika kuomba mkopo.

Zaidi ninatoa elimu jinsi ya kuanzisha mikopo ya nyumba au kuboresha makazi kwa yeyote mwenye uhitaji naomba tuwasiliane.
Nifundishe jinsi ya kukwepa kulipa mkopo
 
Wanajamvi heri ya pasaka,

Mimi ni kijana wa kitanzania, ni mzoefu wa mikopo,kwa okipindi cha miaka mitano, kwa sasa nimeamua kujiajiri, katika kutoa ushauri jinsi ya kukopa, mbinu za kulipa mkopo uliokopa, taratibu za kibenki katika kuomba mkopo.

Zaidi ninatoa elimu jinsi ya kuanzisha mikopo ya nyumba au kuboresha makazi kwa yeyote mwenye uhitaji naomba tuwasiliane.
Wewe unafaa
 
Mkuu umewahi kukopa wewe? Kwanini pamoja na kutoa elimu hii nzuri yenye manufaa ingekuwa vema tuje tuone jinsi wewe ulivyo jiajiri kwa kukopa na kuendesha miradi mikubwa
Unakosea, mafundi wengi hodari hawana hata kiwanja licha ya nyumba.
 
kaka usikariri, mimi ni mtahalamu, mke wangu ni mfanyabiashara sio lazima wte tuwe wafanya biashara. km utaki uduma yangu potezea mkuu
 
Mkuu hujanielewa mkuu, nilikuwa namjibu kaboom, nikimaanisha sio lazima mtaalam wa jambo fulani awe na ufanisi japo wengine wanafaidi huduma yake, mimi cjakupinga hata kidogo rejea mchango wangu mwingine hapo juu mkuu
 
h

aaaaaaaaaaaaaa nlikuwa sjakusoma mkuu niwie radhi mkuu
 
mimi nipo DSM, Ukitaka mawasiliano una npm tu, mila jamani mi sto mikopo, ni msahuri tu maana nashangaa watu wameanza kunifata pm na kuomba mikopo, mimi nina network ya kukuwezesha wewe upate mikopo. karibu na pia ninashauri kwa kufata riba,na Benk nzur inayoweza kukusililiza na kukusaidia kwa wakati kumbukeni Mabenk mengi, mpka huwe na mtu ndo upate pesa au utoe rushwa ebu buguza hizo wasiliana na mi mmi sifileo tuyajenge yote kwa usawa
 
Mkuu umewahi kukopa wewe? Kwanini pamoja na kutoa elimu hii nzuri yenye manufaa ingekuwa vema tuje tuone jinsi wewe ulivyo jiajiri kwa kukopa na kuendesha miradi mikubwa
Hahahahah yale yale ya mganga hajigangi....:D:D:D
 
Naomba kujua iyo elimu no Yng 0752244072
kabla sijachukua namba yako, wewe inabdi uniambie unafanya nini? wapi na nini rengo lako katika kutaka kupata Elimu, hata kama unatakiwa kunilipa, ila mimi naitaji mtu ambaye anaweza kujieleza kwa umakini ktk tanzu hizo tatu tu alafu tubFANYA MASOMO YETU KUWA MEPESI.
 
Back
Top Bottom