Wabunge wetu wakiwa bungeni ni kama debe tupu, haliishi kelele

MGOGO27

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
459
217
Hapa mjini kwetu Dodoma muda umebaki kidogo sana waheshimiwa wabunge waanze kuwasili kwa ajili ya vikao vya bunge la bajeti la mwaka 2016-2017 sasa hakuna tatizo kama wanakuja ila kuna madebe matupu mule bungeni yaani kazi yao ni kuzomea na kushema kwa herufi kubwa ndioooooooooooo!!!!!!
Hawajui kujenga hoja kazi yao kulala na kuzomea na kulinda maslahi ya
-matumbo yao
-chama chao

Naomba CCM mbadilike tena bora safari hii hayupo Lyatonga Mrema wala Cheyo maana hawa nao walikuwa ndumira kuwili pia hawa wazee wa ndiooooooooo jioni utawakuta chako ni chako kama unabisha fuatilia vikao vya jioni vinavyofika usiku utaona idadi yao
 
Back
Top Bottom