wabunge wetu wana kipaji kwelikweli, hasa rose mwalusamba, cuf mbeya
Haaaaaaa Du huyo mbunge aliolizwa swali la mvunjiko wa ea community kajiuma sana ila mwisho funga kazi rose mwalusamba ni nomaaa hevingi hevingi noleji in politiko andeli I'm politishian na deile bledi.
Yeh mkuu huyo ndo kaniacha hoi... Yaani ulikuwa ni mtihani mkubwa sana.kwake.. alafu umesikia madam speaker alipochimba mkwara kwa ngeli.. inasikitisha ila inabidi.ucheke tu
Mkuu labda waliambiwa sikuhiyo ni ngeli tu.. hahaha
Kingereza mchezooooooooooooo, chezea shule za kata weweeeeeeeeeeeeeeeee.