Wabunge wetu na hatima ya maendeleo ya wananchi

MUNYAMAKWA

Member
Joined
Jun 15, 2012
Posts
59
Reaction score
5
Napata shida sana kutafakari jambo hili:Awali nilifikiri ubunge ni uwakilishi wa wananchi Bungeni, lakini sasa mbona waheshimiwa hawa wengi wao hawaonekani majimboni mwao saa ngapi wanapata hizi changamoto za majimboni mwao ili wakawasemee walalahoi hawa mjengoni? Halafu nikaona ubunge kama chanzo cha uchumi maana hata Wasomi waliokuwa na nyadhifa za juu na hata maslahi mazuri pia wanagombea ubunge!!na la ajabu Wasomi hawa baadhi yao wakipewa nyadhifa (waziri au naibu waziri) we acha ni 'madudu proof' tupu!!Je hiki tukiite kipindi cha mpito cha kujifunza siasa katika nchi hii au sisi wananchi ndo hatujui kuchagua? Au ni ule usemi usemao 'Eat more when you chance'
 
Source:Munyamakwa
 
Back
Top Bottom