Wabunge wengi wa CCM ni mawaziri

Wabunge wengi wa CCM ni mawaziri

king ndeshi

Senior Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
135
Reaction score
7
Kazi ya wabunge kwa lugha rahisi ni kusimamia (kuibana) na kuishauri serikali, Kinyume kabisa na hali hiyo wabunge wengi 97% wa ccm wamekuwa wakitetea majibu ya serikali,wakati mwingine kupangua hoja zinazoibuliwa bungeni dhidi ya serikali kitu ambacho ni kazi ya mawaziri. Hii nchi itasonga mbele siku CCM wakiongea kama CHADEMA. Yaani kama wabunge...ASANTENI
 
Wameambiwa kuwa wasipoitetea serekali hata wakichaguliwa na wana CCM mwaka 2015 majina yao yataondolewa na mwenyekiti kama jina la yule jama awa Nzega lilivyoondolewa kwa sababu ya Richmond
 
Wengine wanafanya hivyo,kwa ajili ya kutetea matumbo yao,ingawa nafsi zao zinawasuta.

Si unajua ipo kanuni ya bunge,ambayo inasema kama wabunge wakikwamisha bajeti ya wizara yoyote ile, Rais anaweza kulivunja bunge,na nchi ikaingia kwenye uchaguzi mwingine?
 
bora tuingie kwenye uchaguz,na naamin rais hawez kufanya hivyo,wananchi wawe wanawahoj wabunge wao
 
Wameambiwa kuwa wasipoitetea serekali hata wakichaguliwa na wana CCM mwaka 2015 majina yao yataondolewa na mwenyekiti kama jina la yule jama awa Nzega lilivyoondolewa kwa sababu ya Richmond

Waache wafu wazike wafu wenzao. Kama wana hofu ya mwenyekiti 2015, abadani hata wakipitihwa na mwenyekiti, wataondolewa na wanachi.

Nawahurumia sana kwani nje baridi sana, chai ya rangi moto, ndani ya kombe la bati.
 
Back
Top Bottom