Nelson Masaduki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 346
- 381
Wakihama utaamini. Usikalie ubishi kila sikuTumekalia umbea kama wanawake,tufanye kazi hali ni ngumu.
Na wasipohama?Wakihama utaamini. Usikalie ubishi kila siku
Good question; mtoa hoja amalize hilo though majina siyo issue sana kwa sasa.Ni wa chama tawala au ni wa upinzani wanaotafuta kutumiwa na chama tawala?
Mkuu, that will never happen may be over your dead body.Tume ya utumishi wa umma na ile ya utawala bora watuambie kama alichokifanya Kitila Mkumbo ni sahihi kwa mtumishi wa umma kuvaa sare za chama na kujitangaza hadharani kujihusisha na siasa za chama hicho huku bado ni Katibu Mkuu wa wizara. Hii nchi tuliikuta ikiwa na kanuni na taratibu na miiko ya utumishi wa umma, tusiharibu.