Wabunge wangapi wametumia usafiri wa gari moshi

Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
470
Napenda kuwauliza wabunge wetu wa "magamba" na "magwanda" hasa wa mikoa/wilayaau majimbo linakopita treni iwe ni yaTAZARA au ya kati
  • Je wanajua umuhimu wa gari moshi kwa wanachi wa majimbo/wilaya au mikoayao
  • Je wanajua au wameshuhudia state ya usafiri wagari moshi
  • Na mwisho lakini la muhimu hata kwa kusafiri daraja la kwanza au la Pili ni wangapi wametumia usafiri huo japo mara moja
 
Back
Top Bottom