L LEX STEELE JF-Expert Member Joined Jul 16, 2011 Posts 224 Reaction score 110 Jul 18, 2011 #1 hivi ipo listi ya wabunge wanawake vijana? maana kila siku tunawasikia akina zitto na Makamba bas! itakuwa si vibaya mtu akaleta listi za wabunge wanawake na picha zao
hivi ipo listi ya wabunge wanawake vijana? maana kila siku tunawasikia akina zitto na Makamba bas! itakuwa si vibaya mtu akaleta listi za wabunge wanawake na picha zao
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,684 Jul 18, 2011 #2 za nini?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,375 Reaction score 145,107 Jul 18, 2011 #3 Daaah! ila hilo jina lako mazee.......