Wabunge wanavyojisahau...

wanapozungumzia matatizo ya dar wanawawakilsha pia wananch wao wanaoish hapa dar na shida wanazozipata.mathalani mzee wa kiraracha ni mbunge wangu na tunaish nae hapa dar mitaa ya sinza na pia akiongea unawakilisha waliopo diaspora ie dar na walioko kiraracha
 
mhhhhhhhhh....................
 
Bongo tambarareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Siyo mbaya bana coz kama kuna ufisadi UDA unazungumza tu kwa masilahi ya umma. Mkuu open ya eyes!
 

Inaudhi sana Mkuu. Hawa Wabunge hurudi majimboni kwenda kuomba KULA baada ya miaka mitano wakiwa na kanga, fulana, kofia za rangi ya Yanga na pia michele, unga au magunia ya mahindi na vijisenti vichache pia hupikisha hata pilau la kukata na shoka ili wapiga KULA "wajichane" na wakishapewa KULA zao huingia mitini na kutoonekana tena kwa miaka mingine mitano
 
Mkuu, kwa sababu wote wanaishi Dar es Salaam.<br />
Huko majimboni huwa wanakwenda kupigiwa kura tu lakini makazi yao ya kudumu ni Dar es Salaam
<br />
<br />
Mmh! kuhusu mbunge wetu mi hata sisemi.KILICHOMPELEKA MJENGONI KULALA TU NA KUMWAGA MIUDENDA
 
Sio tatizo lao kwa maana wengine tuliwachagua tukijua ya kuwa wana familia na shughuri zao dar,sasa waache familia zao ama waache miradi yao mingine?siwatetei lakini ni lazima tuelewe kwamba sisi wananchi huishia kupokea vizawadi bila kuwabana wakati wa kampeni zao kujarbu kuuliza mambo kama haya na baadae tunaanza kujilaumu wenyewe

Alafu mbunge kuongelea Dar sio ishu,ni bora kuliko wanaolala na kusifia na kupongezana ktk mambo ya kipuuzi,kwa mfano mbunge kuuliza uharibifu wa ml.Kilimanjaro tatzo liko wapi ikiwa mlima ni sehemu ya asset ya nchi,hapa haijalishi huyu ni wa Mwz,Mby wala Mtw.kufocus sana dar si tatzo cha msingi atangulize ya watu wake na ndo aongelee kitaifa...dar ndo jicho la nchi yetu jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…