Mkuu, kwa sababu wote wanaishi Dar es Salaam.
Huko majimboni huwa wanakwenda kupigiwa kura tu lakini makazi yao ya kudumu ni Dar es Salaam
Bora wakuu wa wilaya au wakurugenzi wa halmashauri ndio wangekuwa wawakilishi wa wananchi kuliko hawa wabunge!sasa aongee nn wakati hajui kinachoendelea jimboni kwako?
Wao si wakulaumiwa bali wale waliowachagua huku wakijua mhusika haishi miongoni mwao na wakati mwingine kuwanyima kura wale ambao wanaishi miongoni na kuwachagua wale wasioishi nao.
ukisikiliza wabunge unaweza kucheka kwa kweli
wote wanajisahau kuwa wanawakilisha majimbo yao huko makwao
kutwa wanazungumzia daresaalam
yaani hawana aibu tena kuwa wote wanaishi daresalaam...
mbunge wa mafia alivyozungumzia ishu ya uda tena kwa hasira
mwingine wa lindi alizungumzia sana police kilwa road
na mwingine wa zanzibar alizungumzia sana wasomali wa kunduchi
immekuwa kama fasheni unakuta mbunge wa kigoma mfano
lakini anasimama bungeni na kusema "mimi naishi pale kunduchi"
mimi huwa najiuliza,sasa waliowapigia kura wanajisikiaje?????????
mbona wabunge wote wanazungumzia kero za daresalaam??????????

una uhakika Filikunjombe hakuwatetea watu wake? Acheni u cdm hapa.Pia nilicheka wakati namsikia Filikunjombe anasema "na hili nimetumwa na wabunge wa dasslam nilisemee.........." afu akaendelea na blah blah za UDA.
Mi niwapongeze kwa uaminifu wao wa kuwakilisha wanapoishi badala ya wanaowawakilisha.