Wabunge wanaoboa!

This thread is not worthy to discuss. When you devalue ole sendeka then you are so mean. Try to be fare to Ole sendeka please, he has been very strong on issues with national interest.

Afadhali umesema wewe, huyo jamaa amejaa U-CHADEMA na hajaleta mada hii kwa maslahi ya watanzania bali anataka tu kuwakashfu wabunge wa vyama fulani na kuwasifia wale wa vyama vingine. THIS IS IRON BOY, he is always interested to talk about people and not issues.
 

SUGU. ananiboa ile mbaya, yaani usanii, majungu, visasi sana na kujiona kwingi katika michango yake yote.
 
Wananiboa Wanafiki waungao mkono hoja eti asilimia mia kwa mia. Wakati wana mambo mbalimbali ya kuchangia. Hii inaonyesha ni jinsi gani walivyo kariri hata common sense hawana.
Utachangia hoja yale unayodhani yataiboresha kwa manufaa ya Watz. Huwezi kuunga mkono hoja 100% alafu ukawa na jambo la kuchangia.
 
Wananiboa sana wanaounga mkojo aah!!! sorry mkono 100% halafu wanaanza kusema matatizo mengi ya majimboni kwao na kuanza kui critisize hoja yenyewe. Ningekuwa speaker ingekuwa mtu akisema tu anaungana na hoja kwa 100% simruhusu kuchangia maana hiyo hoja haina tatizo lolote na haitakiwi kuongezewa wala kupunguzwa.

Wakiwemo kama Jenister Mhagama, Stellah Manyanya, Livingstone Lusinde, na wenzao wote wanaofikiri kwa kutumia masaburi.
 
kuna mwingine anaitwa mhagama anaongea anajikamu kama mbuzi anataka kuzaa..ananitia kichefuchefu mpaka basi na likitambi lake lini....
 
Jamani mimi anayeniboa zaidi ni Stephen Wassira. Yaani jamaa anatisha.
 
Said Jafo................., hana mchango wakati ni graduate wa juzi tu. Shame on him cos hata akina JMarope waliosoma vyuo uchwara wajenga hoja yeye kazi kubadili tai tu.
 
mie wananiboa wale askari wanao jifanya kiherehere kutoa wenzao mjengoni badala wawaache watoane manundu
 
j3 utamsikia bungeni akiikandia JF kuwa inachochea mambo si unajua tena watu wa taarabu
 

Mbunge wa Mtera, livingistoni lusinde!
 
jamani ole ni jembe lile anayeniboa ni sana adeni lage. mshana nshunju na max(geita)ovyo ovyo hawajui wanachokifanya humo mjengoni
 
Kaften joni koMba teh! teh!tabia za wanafunzi wanaokaaga dawati za mwisho ni sawa na huyu njemba
 
I agree with you, nimesoma na Ole Sendeka Old Moshi High school na ninakwambia huyu bwana alikuwa mtetezi mkubwa sana pale shuleni, akiwa kiranja mkuu alibadilisha mambo mengi sana pale. So he has a good record even now.
This thread is not worthy to discuss. When you devalue ole sendeka then you are so mean. Try to be fare to Ole sendeka please, he has been very strong on issues with national interest.
 
Yaani huyu O.Nundu juzi alinikera sana! anawafokea wabunge vichwa kwamba wametumwa ! (eti nani kawatuma nyie mje mkatae huu muswada?? nani kawatuma....?) mimi nikashangaa hakuna aliyeomba mwongozo wa spika kwani alikuwa amepanick na anafoka bungeni hovyo!!!!!
Ole Sendeka ni Jembe wandugu.Mtoa uzi ame over look. Labda alitaka kumtaja Omari Nundu. Mi nikumuona Maghembe natapika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…