johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,250
- 168,814
Endapo tutaamua kujadili kwa pamoja wananchi tukiungana na wabunge wetu, je mdau ungependelea tuanze na mjadala upi wa Boeing au Sembe (UGALI) karibu!
Viongozi hawali ugaliHapa kuna gap kubwa kati ya wananchi na viongozi wao.Wananchi wanataka mustakabali wa maisha yao ya sasa mfano gharama ya sembe,sukari,mafuta kupikia,ngano nk lakini viongozi wao kutokana na mishahara na posho zao nono pamoja na marupu rupu ya kutosha hivyo wao wanazungumzia kuhusu gharama za ndege yaani ipi ni ndege bora?
Ndomana Zitto anatetea NAULIkula sio lazima lakini kupanda ndege ni lazima