Liruhusu wizi ana mamlaka gani yaani msimamizi (supervisor) ana nguvu kuliko mkurugenzi mkuu wa kampuni (CEO)?
Acha utani, waziri mkuu pamoja na juhudi za kukemea na kusimamika zi wabadhirifu unasema aliruhusu wizi wakati wanaosimamishwa wanateuliwa na kupewa mikataba ya ajira na mkurugenzi mkuu wa kampuni ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kuajiri na kufukuza (Hire & Fire)?
Mwacheni Mwalimu Kassimu Majaliwa Majaliwa ninyi wezi ndio mnampiga vita sana