YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,003
Kila mbunge ameapa kulinda na kutetea katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.Na katiba hiyo waliyoapa kuilinda na kuitetea swala la uchaguzi wa Zanzibar halimo katika mambo ya muungano waliyoapa kuyatetea.Hivyo ni marufuku kulijadili bungeni ni kinyume cha katiba waliyoapa kuilinda.