johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,638
Wadau ni vema tukaanza kupata picha ya Bunge lijalo kwa kuwatambua wabunge ambao hawatareiea bungeni kwa various reasons ikiwemo na kupata kura chache za maoni.
Mzee Pinda hatagombea, Lowasa, Magufuri na Samia (urais), Pindi chana, Chilolo, Lediana (kura chache), Nchimbi( hajachukua fomu)..........!
Wadau kesho hitimisho kura za maoni CCM naomba tuiendeleze orodha hii kwa taarifa za kweli na zenye uhakika. Vyama vyote vyahusika, ahsante inadvance kwa taarifa!