Wabunge waliokosa uzalendo waumbuliwa

Pyroxine

Member
Jun 1, 2014
55
42
Ndugu wadau wa jf mi nimesikitishwa na baadhi ya wabunge wetu WANAOTETEA MASLAHI YA MTU BINAFSI(MENGI) NA KUACHA Kuacha kuzungumzia hoja za kimaendeleo, wafuatao ni baadhi yao: David Kafulila, John MNYIKA, Christopher Olisendeka, Mbowe, na wote waliotoka nje wakati wa kujadili BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI. HUU NI MTAZAMO WANGU KWANI KUNA MAMBO MENGI YA MSINGI YANAYOGUSA JAMII BUT HAWA JAMAA WAMEONYESH WAZI HAWANA INTEGRITY.
 
hata mbowe umemuweka .Kilaza
tatizo la kukariri mambo, kwani Mbowe ni mungu? naye anakosea kama watu wengine so is better mkawa OPEN MINDED ILI MUWEZE KUJENGA HOJA BADALA YA KULALAMIKA.(TAIFA LILILOKOSA WABUNIFU LI KARIBU KUTAWALIWA)
 
hata mbowe umemuweka .Kilaza

Mbona mbowe pia ni kilaza sana. Kwa kukuakikishia mbowe na wenzake wamegeuza ubunge kama udalali. Kabla hawajachangia muswaada wowote hupiga sim kwa muusika ili watumiwr mpesa or tigopesa
 
mleta madaa ni mshenzi na muhuni mkubwa leta uthibitisho wako hapa acha kutumiwa na ccm kama kondomu badilika
 
hwa jamaa wanaibiana wenyewe wenyewe kwa wenyewe, sasa we uzi kama huu halafu unaenda kudai b7
Paymaster wao mwenyewe ni mbulula unategemea nini? Nape ni kuwa hata mtu akiandika kuwa wabunge wa Chadema wanajisaidia chooni yeye analipa tuu buk7 mradi tu utaje Chadema.
Ni majanga hapo Lumumba
 
Pole ww Mwanamke, karibu; waezakuwa ulikuwa na hoja nzuri lkn hujaeza kuweka content za kueleweka ndo mana utaitwa mbulula, unaweza kurekebisha ukarudi vizuri zaid
 
ndugu wadau wa jf mi nimesikitishwa na baadhi ya wabunge wetu wanaotetea maslahi ya mtu binafsi(mengi) na kuacha kuacha kuzungumzia hoja za kimaendeleo, wafuatao ni baadhi yao: David kafulila, john mnyika, christopher olisendeka, mbowe, na wote waliotoka nje wakati wa kujadili bajeti ya wizara ya nishati na madini. Huu ni mtazamo wangu kwani kuna mambo mengi ya msingi yanayogusa jamii but hawa jamaa wameonyesh wazi hawana integrity.

acha ubwege! Hata ulaya kwa jambo wasilio afiki hutoka nje! Wakati mwingine hupigana mayai!
 
Yupi ni mzalendo tunapokuwa tunajadili wizara ambako ndiko kuna TANESCO, madini, nk huku ukijua kuwa watz wengi hawana umeme, walio nao unakatika mara kwa mara na huo uliokatika wanaulipia gharama kubwa. Ambapo madini yapo lakini ni karaha na udhia. Ambapo kila uchaguzi unapokaribia kupitia hapa lazima pesa ichotwe kwenda kuhonga, kununulia kofia na hati za kupigia kura. Yamekuwa yakisemwa hakuna marekbisho, yamesemwa things as usual, kesho utaendelea kusema? Je ni njia ipi ya kuonyesha uzalendo wako. Ukae useme halafu wakucheke, wakukebehi na mwisho wakudhihaki na kura za ndiyoooo huku watu wanashindwa kutofautisha kati ya wewe na wao au uwaonyoshe kuwa japo huwezi kubadilisha kwa wingi na ujuha wao hukubaliani na yanayofanyika. Na kuonyesha kutokubaliana nao ni kujitenga na hayo maamuzi yao maovu. Kuyakimbia maamuzi angamizi ni kukosa au kuwa na uzalendo. Sasa wanaoumbuka ni wapi na kwa nani? Wanaumbuka kwa ninyi mafisadi lakini kwa sisi wananchi ni mashujaa. Tutaendelea kuvibaini vifisadi vidogo hapa.
 
Back
Top Bottom