Wabunge wajipanga kummaliza Maswi

Wabunge wajipanga kummaliza Maswi

IPTL

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
226
Reaction score
172
Kuna baadhi ya watanzania ni waajabu sana nchini kwetu wakiona mtu au kiongozi mwizi wanampinga na wakiletewa mwingine ambaye ni mzalendo wa kweli na si mla rushwa na hatoi rushwa watamchukia na kumpikia majungu na kumfanyia mizengwe.

Ndugu wadau hoja yangu ya leo ni kuhusu wizara ya nishati na madini ambayo haijawahi kutulia hata mora moja kila siku inavurugu mara mawaziri wezi, mara makatibu wakuu na hata wakurugenzi kama katika shirika la tanesco ambalo lipo chini ya wizara ya nishati na madini.

Kwa sasa wizara hii kusema ukweli imepata viongozi wenye misimamo na wasio yumbishwa na hawana woga wowote na hawaogopi chochote ukianzia na waziri mwenyewe profesa muhongo ambaye bila woga alimwondoa aliyekuwa md tanesco mhando aliyekuwa akiiba, akamuondoa mwanasheria aliyekuwa akichota fedha tanesco nimrod mkono ambaye kwa mwezi alikuwa anachukua bilioni kumi na akahakikisha mgawo wa umeme uliokuwa ukioendelea miaka yote nchini na kudai kwamba mgawo ukiendlea nawafukuza kazi menejiment ya tanesco na bodi yake.

Ukija kwa maswi aliwapangua walaji na wababaishaji katika wizara ya nishati na madini na kuhakikisha wizara inaendeshwa kwa maadili na hakuna ubabaishaji na wizi na uwazi unakuwepo lakini na hakuna wanasiasa kuingilia utendaji wa wizara na taasisi zake kama ilivyokuwa huko nyuma.

Maswi ni muhongo viongozi wenye misimamo na hawaogopo iwapo akitokea mshenzi na mtu ambaye ataka kuleta ubabaishaji kama ilivyotokea kwa akina kafulila na zitto ambao wanatumiwa kwa kupewa fedha kupambana na maswi na muhongo na wao kwa vyovyote hawawezi kukubali.

Kuna jambo ambalo limetokea ambalo baada ya ripoti kutoka na kuonekana kwamba maswi na muhongo hawamo baadhi ya wabunge wamenipanga kutafuta eneo jingine la kupambana na maswi mojawapo ni kutumia sauti ya maswi iliyorekodiwa na kutumwa kwenye simu za watu mbalmbali ili wabunge wadai kwamba alimtukana kafulila.

Na kwa sasa amepangwa mbunge machali atumie sauti hiyo ya maswi kuiweka bungeni na kudai kwamba katibu mkuu maswi ambaye ni kiongozi wa serikali anatukana wabunge. (hivi kwa nini wabunge wao wawe wanatukana na kudhalilisha watu ndani ya bunge lakini wao wakijibiwa wanadai wametukanwa na wana kinga lini na sisi watanzania wengine tutakuwa na kinga hiyo. Mbunge akikutukana akikudhalilisha wewe mtu mwingine huruhusiwi kujibu wakati wabunge wengine ni wajinga na hawajasoma wengine hata uelewa mkubwa hawana kabisa. Hatutaki tumechoka

Tunasubiri kumuona Machali akitekeleza kazi aliyetumwa na Deo Filikunjombe na Zitto kumdhalilisha Maswi.
 
Hii sarakasi kama movie banna, hebu ngoja tumalize part 1 ya IPTL na ESCROW
 
Maswi na Mujongo ni visiki vya mpingo, majungu hayawezi kuwaondoa madarakani
 
Mmmmm yaonekana kama wewe tayari umeshanunuliwa kwa bei rahisi kumsafisha Prof Muwongo na katibu wake Maaswi. Hebu nawewe tueleze Maaswi alipofanya uasi akashindilia kwa msumari wa moto kumuita Kafulila (MB) tumbili na mshenzi pake kwenye mkutano wake na waandishi wa habari.
Ndugu yangu hawa watu ni mafisadi usiwalinde kwa lolote. Ripoti zinasema wamekwapua pesa za Tanesco kiujanjaujanja tuu kwa idhini zao. Tangu mwanzo walikuwa wanasema pesa za Escrow ni za IPTL na si za watanzania. Leo CAG kabainisha beyond resoanable doubt kwamba ni pesa za wananchi kupitia Tanseco. Hapo kuna ubishi tena. Mwache Maaswi na Prof Muwongo wakafungwe wezi kabisa hao na werema wao.
 
wabunge wa siku hizi wapiga dili kwa mawaziri makatibu wakurugenzi wa wizara wakikosa dili lao visa vinaanza hasa wabunge wa upinzani wenye tabia hiyo
 
kuna baadhi ya watanzania ni waajabu sana nchini kwetu wakiona mtu au kiongozi mwizi wanampinga na wakiletewa mwingine ambaye ni mzalendo wa kweli na si mla rushwa na hatoi rushwa watamchukia na kumpikia majungu na kumfanyia mizengwe.

Ndugu wadau hoja yangu ya leo ni kuhusu wizara ya nishati na madini ambayo haijawahi kutulia hata mora moja kila siku inavurugu mara mawaziri wezi, mara makatibu wakuu na hata wakurugenzi kama katika shirika la tanesco ambalo lipo chini ya wizara ya nishati na madini.

Kwa sasa wizara hii kusema ukweli imepata viongozi wenye misimamo na wasio yumbishwa na hawana woga wowote na hawaogopi chochote ukianzia na waziri mwenyewe profesa muhongo ambaye bila woga alimwondoa aliyekuwa md tanesco mhando aliyekuwa akiiba, akamuondoa mwanasheria aliyekuwa akichota fedha tanesco nimrod mkono ambaye kwa mwezi alikuwa anachukua bilioni kumi na akahakikisha mgawo wa umeme uliokuwa ukioendelea miaka yote nchini na kudai kwamba mgawo ukiendlea nawafukuza kazi menejiment ya tanesco na bodi yake.

Ukija kwa maswi aliwapangua walaji na wababaishaji katika wizara ya nishati na madini na kuhakikisha wizara inaendeshwa kwa maadili na hakuna ubabaishaji na wizi na uwazi unakuwepo lakini na hakuna wanasiasa kuingilia utendaji wa wizara na taasisi zake kama ilivyokuwa huko nyuma.

Maswi ni muhongo viongozi wenye misimamo na hawaogopo iwapo akitokea mshenzi na mtu ambaye ataka kuleta ubabaishaji kama ilivyotokea kwa akina kafulila na zitto ambao wanatumiwa kwa kupewa fedha kupambana na maswi na muhongo na wao kwa vyovyote hawawezi kukubali.

Kuna jambo ambalo limetokea ambalo baada ya ripoti kutoka na kuonekana kwamba maswi na muhongo hawamo baadhi ya wabunge wamenipanga kutafuta eneo jingine la kupambana na maswi mojawapo ni kutumia sauti ya maswi iliyorekodiwa na kutumwa kwenye simu za watu mbalmbali ili wabunge wadai kwamba alimtukana kafulila.

Na kwa sasa amepangwa mbunge machali atumie sauti hiyo ya maswi kuiweka bungeni na kudai kwamba katibu mkuu maswi ambaye ni kiongozi wa serikali anatukana wabunge. (hivi kwa nini wabunge wao wawe wanatukana na kudhalilisha watu ndani ya bunge lakini wao wakijibiwa wanadai wametukanwa na wana kinga lini na sisi watanzania wengine tutakuwa na kinga hiyo. Mbunge akikutukana akikudhalilisha wewe mtu mwingine huruhusiwi kujibu wakati wabunge wengine ni wajinga na hawajasoma wengine hata uelewa mkubwa hawana kabisa. Hatutaki tumechoka

tunasubiri kumuona machali akitekeleza kazi aliyetumwa na deo filikunjombe na zitto na kumdhalilisha maswi.
acha kutetea uovu ndugu. Je ripoti ya cag inawaonea? Watanzania acheni kutumika kama dambala la dekio. Kipimo cha uaminifu hakipo hivyo mtu akipewa mamlaka tupo tunajua uaminifu wake. Tukiwa na watu kumi kama wewe katika level ya maamuzi basi taifa litaangamia. Usituhamishe kwenye agenda.
 
Ametumwa huyu...unakumbuka kauli ya kwanza ya Maswi pale Ikulu baada ya kuapishwa alichosema?
 
Mtu mwenyewe IPTL unategemea nini!!!!.Makosa yao ni kufuata amri ya wana siasa na kusema ati pesa sio ya umma.Na kinachowaponza ni jazba zao za kimusoma wanashindwa jua Zitto na David ni Leka dutigite watani wa jadi.Je kipi bora ?????????? Kuhongwa ili useme ukweli au kulazimishwa kuiba kwa manufaa ya mtu mwingine!!!!!!!!!!?????????.tena mwanasiasa Tibaijuka nk!!!?????
 
IPTL Ujinga ukikomaa unakuwa zezeta, tangu umekuwa zezeta unaposti ualo wa mlevi. Tulia boss wako atundikwe msalabani
 
wale wale ukoo wa panya,wewe nae IPTL umelipwa bei gan?
 
Last edited by a moderator:
Wewe mleta mada huna hata chembe ya Utanzania. Nadhani unaishi kwa kureamba biatu vya wanaume. Hii mada uliyoweka hapa inaonyesha jinsi usivyo na uchungu na mambo yanayo fanywa na walio pewa madaraka. Hatujali kama wamekula au hawajala. Ila tunawaweka respomsible kwa vile ni viongozi wa Wizara. Hata uwe mzuri vipi kama unashimdwa kusimamia maadili ya nyumbani kwako wewe ni hopeless. Maswi na Muhongo ni hopeless. Mbona huja msifu na Warema aliye ita watu tumbili? Sasa yeye atakuwa ngedere
 
Kuna baadhi ya watanzania ni waajabu sana nchini kwetu wakiona mtu au kiongozi mwizi wanampinga na wakiletewa mwingine ambaye ni mzalendo wa kweli na si mla rushwa na hatoi rushwa watamchukia na kumpikia majungu na kumfanyia mizengwe.

Ndugu wadau hoja yangu ya leo ni kuhusu wizara ya nishati na madini ambayo haijawahi kutulia hata mora moja kila siku inavurugu mara mawaziri wezi, mara makatibu wakuu na hata wakurugenzi kama katika shirika la tanesco ambalo lipo chini ya wizara ya nishati na madini.

Kwa sasa wizara hii kusema ukweli imepata viongozi wenye misimamo na wasio yumbishwa na hawana woga wowote na hawaogopi chochote ukianzia na waziri mwenyewe profesa muhongo ambaye bila woga alimwondoa aliyekuwa md tanesco mhando aliyekuwa akiiba, akamuondoa mwanasheria aliyekuwa akichota fedha tanesco nimrod mkono ambaye kwa mwezi alikuwa anachukua bilioni kumi na akahakikisha mgawo wa umeme uliokuwa ukioendelea miaka yote nchini na kudai kwamba mgawo ukiendlea nawafukuza kazi menejiment ya tanesco na bodi yake.

Ukija kwa maswi aliwapangua walaji na wababaishaji katika wizara ya nishati na madini na kuhakikisha wizara inaendeshwa kwa maadili na hakuna ubabaishaji na wizi na uwazi unakuwepo lakini na hakuna wanasiasa kuingilia utendaji wa wizara na taasisi zake kama ilivyokuwa huko nyuma.

Maswi ni muhongo viongozi wenye misimamo na hawaogopo iwapo akitokea mshenzi na mtu ambaye ataka kuleta ubabaishaji kama ilivyotokea kwa akina kafulila na zitto ambao wanatumiwa kwa kupewa fedha kupambana na maswi na muhongo na wao kwa vyovyote hawawezi kukubali.

Kuna jambo ambalo limetokea ambalo baada ya ripoti kutoka na kuonekana kwamba maswi na muhongo hawamo baadhi ya wabunge wamenipanga kutafuta eneo jingine la kupambana na maswi mojawapo ni kutumia sauti ya maswi iliyorekodiwa na kutumwa kwenye simu za watu mbalmbali ili wabunge wadai kwamba alimtukana kafulila.

Na kwa sasa amepangwa mbunge machali atumie sauti hiyo ya maswi kuiweka bungeni na kudai kwamba katibu mkuu maswi ambaye ni kiongozi wa serikali anatukana wabunge. (hivi kwa nini wabunge wao wawe wanatukana na kudhalilisha watu ndani ya bunge lakini wao wakijibiwa wanadai wametukanwa na wana kinga lini na sisi watanzania wengine tutakuwa na kinga hiyo. Mbunge akikutukana akikudhalilisha wewe mtu mwingine huruhusiwi kujibu wakati wabunge wengine ni wajinga na hawajasoma wengine hata uelewa mkubwa hawana kabisa. Hatutaki tumechoka

Tunasubiri kumuona Machali akitekeleza kazi aliyetumwa na Deo Filikunjombe na Zitto kumdhalilisha Maswi.

Ivi unajua MASWI na MUHONGO walishapewa karipio na SPIKA A. MAKINDA KWA kuwasingizia wabunge wa iliyokuwa kamati ya nishati na madini wakati huo ikiwa chini ya SELEMANI ZEDI kuwa wamehongwa ili wakwamishe bajeti ya wizara ya NISHATI bunge likaunda kamati teule kuchunguza walipohojiwa MASWI AKASEMA yeye aliambiwa habari izo na MUHONGO, MUHONGO nae alipohojiwa akasema yeye aliambiwa habari hizo na MASWI, uchunguzi wa kamati ukaishia hapo kwaiyo hawa watu si wakuaminika
 
Back
Top Bottom