Wabunge wagombea Tsh milioni 1

Wabunge wagombea Tsh milioni 1

Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
6,811
Reaction score
6,506
*Ni wa CCM na Chadema Kanda ya Ziwa

WABUNGE wawili wa Kanda ya Ziwa, wameingia katika mzozo wa kugombea shilingi milioni moja. Wabunge hao ni Lameck Airo wa Jimbo la Rorya mkoani Mara (CCM) na Ezekiel Wenje wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza.

Akizungumza na MTANZANIA Jumatano jana kuhusu chanzo cha mzozo huo, Airo alisema anamtaka Wenje amrejeshee Sh milioni moja, alizompatia kwa ajili ya harambee ya kuchangia Shule ya Msingi ya Buchili wilayani Rorya, kwa sababu amezitumia badala ya kwenda kutoa mchango.

Airo alisema Wenje alikwenda kumuomba Sh milioni 5 mwishoni mwa wiki iliyopita alizodai kuwa ni mchango kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Buchili pamoja na ununuzi wa madawati na kumtaka ahudhurie harambee hiyo, lakini ratiba yake haikumruhusu hivyo alimpatia Sh milioni 1 ya mchango.

Alisema alishangazwa na taarifa alizopata kutoka kwenye harambee hiyo, kuwa Wenje hakutoa mchango aliompatia na badala yake alitoa maneno ya kashfa dhidi yake pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rorya, Charles Ochere, ambaye naye alimchangia kiasi cha Sh 500,000.

Alilalamika kuwa kitendo cha Wenje kutafuna fedha zake ni cha kihuni na kumtaka azirejeshe huku akimtahadharisha kuacha kumchafua katika majukwaa na badala yake washindane katika kuwaletea maendeleo wananchi.

“Nimempatia fedha kwa ajili ya harambee kiasi cha Sh milioni moja na Mwenyekiti naye alitoa Sh 500,000, kwanini hakutangaza mchango wetu katika harambee hiyo na badala yake yeye binafsi alitoa milioni moja pekee bila kutaja tulizompatia, inatia aibu kwa Mbunge kuchukua fedha kwa wabunge wenzako bila kuzifikisha kunakohitajika, kama alikuwa anataka kuongezea mtaji kwa ajili ya duka lake la madawa ni afadhali angetueleza,” alisema Airo.

Aidha Airo alieleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mbunge huyo katika harambee hiyo, kuwa amekuwa akimsaidia mambo kadhaa wakiwa bungeni mjini Dodoma na kueleza kuwa huo ni uongo.

Alipotafutwa Wenje kupitia simu yake ya kiganjani kuzungumzia tuhuma hizo, iliita bila kupokelewa.

Kwa hisani ya Mtanzania.
 
Gosh, wabunge wa bunge la Tanzania wabahiri kweli kweli.

Yaani pamoja na kupokea mshahara wa zaidi ya Tsh milioni 7 nje ya marupurupu mengine kwa mwezi lakini bado wanakuwa wabahiri. Yaani ubunge wanaufanya ni sehemu ya ajira na kuondoa umasikini wao kwanza badala ya kuwa ni sehemu ya kuumiza vichwa vyao kwa ajiri ya kutafuta njia mbadala ya kusukuma maendeleo ya Taifa mbele kwa haraka, kwa njia iliyo sahihi ili wananchi wao waondokane na umasikini.

Hawa ndiyo tunategemea watakuja na formula mbadala ya kuondoa umasikini nchini.

They act dubiously and cynical.
 
Mshahara hautoshi mkuu nyumba ndogo nyingi
 
Yaani Airo ampe Mbunge wa Upinzani pesa kwenda kuchangia harambee katika jimbo linaloongozwa na Mbunge huyo wa CCM? Hiyo Story pelekeni vikao vyenu vya CCM hapa haiuziki. Magazeti mengine badala ya kujikita na vita hii ya madawa ya kulevya yanayosambazwa na viongozi na umasikini wa nchi yanaubeba umbea na uzandiki usio na Tija.
 
Hata mimi nimeshtuka sana, Mwigulu naye aliwahi kumpakazia Joshua Nassari eti alimchangia laki 500,000! Ni Uzushi mtupu..
 
*Ni wa CCM na Chadema Kanda ya Ziwa

WABUNGE wawili wa Kanda ya Ziwa, wameingia katika mzozo wa kugombea shilingi milioni moja. Wabunge hao ni Lameck Airo wa Jimbo la Rorya mkoani Mara (CCM) na Ezekiel Wenje wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza.

Akizungumza na MTANZANIA Jumatano jana kuhusu chanzo cha mzozo huo, Airo alisema anamtaka Wenje amrejeshee Sh milioni moja, alizompatia kwa ajili ya harambee ya kuchangia Shule ya Msingi ya Buchili wilayani Rorya, kwa sababu amezitumia badala ya kwenda kutoa mchango.

Airo alisema Wenje alikwenda kumuomba Sh milioni 5 mwishoni mwa wiki iliyopita alizodai kuwa ni mchango kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Buchili pamoja na ununuzi wa madawati na kumtaka ahudhurie harambee hiyo, lakini ratiba yake haikumruhusu hivyo alimpatia Sh milioni 1 ya mchango.

Alisema alishangazwa na taarifa alizopata kutoka kwenye harambee hiyo, kuwa Wenje hakutoa mchango aliompatia na badala yake alitoa maneno ya kashfa dhidi yake pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rorya, Charles Ochere, ambaye naye alimchangia kiasi cha Sh 500,000.

Alilalamika kuwa kitendo cha Wenje kutafuna fedha zake ni cha kihuni na kumtaka azirejeshe huku akimtahadharisha kuacha kumchafua katika majukwaa na badala yake washindane katika kuwaletea maendeleo wananchi.

“Nimempatia fedha kwa ajili ya harambee kiasi cha Sh milioni moja na Mwenyekiti naye alitoa Sh 500,000, kwanini hakutangaza mchango wetu katika harambee hiyo na badala yake yeye binafsi alitoa milioni moja pekee bila kutaja tulizompatia, inatia aibu kwa Mbunge kuchukua fedha kwa wabunge wenzako bila kuzifikisha kunakohitajika, kama alikuwa anataka kuongezea mtaji kwa ajili ya duka lake la madawa ni afadhali angetueleza,” alisema Airo.

Aidha Airo alieleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mbunge huyo katika harambee hiyo, kuwa amekuwa akimsaidia mambo kadhaa wakiwa bungeni mjini Dodoma na kueleza kuwa huo ni uongo.

Alipotafutwa Wenje kupitia simu yake ya kiganjani kuzungumzia tuhuma hizo, iliita bila kupokelewa.

Kwa hisani ya Mtanzania.

Imekosekana hekima ya kuliongelea hili jambo isipokua kwenye media?
Hawa jamaa wanahitaji uadilifu kwenye kazi zao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mshahara hautoshi mkuu nyumba ndogo nyingi
Katika dunia hii hakuna kitu kinachotosha ila kinachofanyika ni kujinyima ili angalau na wengine wafaidike.

Hata hizi nyumba ndogo zinasababishwa na mke kutotosha!. Kama wangejinyima na kubakiwa na mke mmoja, ninatumaini zisingekuwepo hata hizi nyumba ndogo unazosisema!.

Ulafi ni kitu kibaya sana.
 
Rameck huyu mbunge wa rorya aliesema Hawezi kuchangia hoja bungeni kwani shida iliyoko ubungo ndo shida ya rorya hivyo mnyika fanye kazi zote kwa ubungo na rorya yeye rameck airo kazi yake ni kupiga makofi tu?
 
Lakairo, kijana aliyeanzia kwenye bihashara ya magendo ya kuuza Ngozi, aka advance akaingia kwenye ujambazi wa kupora mifugo, akaingia kwenye bihashara na sasa anamiliki Hoteli pale mwanza mjini, Mungu akumsahau akamfanya Mbunge!
Hahaaaaaa, Mbunge anayejua kubamiza meza za Bungeni tu-mdomoni wamemshonea fuko lenye zipu...hahaaaaa!

kuna mpambe wake humu JF..ajitokeze atueleze kwa nini Don Lakairo ametangaza kutokurudia kutetea kiti chake hata kabla hajatimiza nusu ya muda wa kuwatumikia wanaRorya??? anakimbia nini? ameona nini?? Cheza na wazee wa Green Guard-tutalala hotelini kwako na kula Bureeee!🙂
 
Wana JF!

Katika hali isiyotegemewa, mbunge wa nyamagana Ezekiel Wenje ametuhumiwa na mbunge wa Rorya (CCM), Lameck Airo kuwa amepotea na fedha alizomwomba ampatie ili akatoe kwenye harambee.

Habari kamili hii hapa.

[h=2] Wabunge wagombea Sh milioni 1 [/h] Jumatano, Julai 31, 2013 05:37 NA JOHN MADUHU, MWANZA

Gazeti la Mtanzania

*Ni wa CCM na Chadema Kanda ya Ziwa
WABUNGE wawili wa Kanda ya Ziwa, wameingia katika mzozo wa kugombea shilingi milioni moja. Wabunge hao ni Lameck Airo wa Jimbo la Rorya mkoani Mara (CCM) na Ezekiel Wenje wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza.

Akizungumza na MTANZANIA Jumatano jana kuhusu chanzo cha mzozo huo, Airo alisema anamtaka Wenje amrejeshee Sh milioni moja, alizompatia kwa ajili ya harambee ya kuchangia Shule ya Msingi ya Buchili wilayani Rorya, kwa sababu amezitumia badala ya kwenda kutoa mchango.

Airo alisema Wenje alikwenda kumuomba Sh milioni 5 mwishoni mwa wiki iliyopita alizodai kuwa ni mchango kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Buchili pamoja na ununuzi wa madawati na kumtaka ahudhurie harambee hiyo, lakini ratiba yake haikumruhusu hivyo alimpatia Sh milioni 1 ya mchango.

Alisema alishangazwa na taarifa alizopata kutoka kwenye harambee hiyo, kuwa Wenje hakutoa mchango aliompatia na badala yake alitoa maneno ya kashfa dhidi yake pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rorya, Charles Ochere, ambaye naye alimchangia kiasi cha Sh 500,000.

Alilalamika kuwa kitendo cha Wenje kutafuna fedha zake ni cha kihuni na kumtaka azirejeshe huku akimtahadharisha kuacha kumchafua katika majukwaa na badala yake washindane katika kuwaletea maendeleo wananchi.

“Nimempatia fedha kwa ajili ya harambee kiasi cha Sh milioni moja na Mwenyekiti naye alitoa Sh 500,000, kwanini hakutangaza mchango wetu katika harambee hiyo na badala yake yeye binafsi alitoa milioni moja pekee bila kutaja tulizompatia, inatia aibu kwa Mbunge kuchukua fedha kwa wabunge wenzako bila kuzifikisha kunakohitajika, kama alikuwa anataka kuongezea mtaji kwa ajili ya duka lake la madawa ni afadhali angetueleza,” alisema Airo.

Aidha Airo alieleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mbunge huyo katika harambee hiyo, kuwa amekuwa akimsaidia mambo kadhaa wakiwa bungeni mjini Dodoma na kueleza kuwa huo ni uongo.

Alipotafutwa Wenje kupitia simu yake ya kiganjani kuzungumzia tuhuma hizo, iliita bila kupokelewa.
 
Palestine wamewapa hela Israel kujenga makazi mapya Jerusalemu?

Taliban wamewapa hela USA ili kujenga Ubalozi wao Kabul?

Lowassa kampa pesa Dr. Slaa ili aendeleze M4C?

Labda nazeeka vibaya ndiyo maana sielewi.
 
Akishahojiwa na mheshimiwa Wenje story itakuwa balanced na nitarudi kuchangia, kilichopo ni uzushi tu.

Yaani mtu akuchangie mil 1 halafu ukamponde kwenye harambee, hata kama Wenje hana shukurani kiasi gani hawezi kufanya hivi. Jamaa baada ya kusemwa ameamua kulipiza kupitia mtanzania.
 
Yanatapatapa magamba ya CCM,

Hata kama alimpa kuna ushahidi upi wa kuweza kumtia Wenje hatiani? Watanzania tunalolijua ni kwamba wabunge wa sisiemu ni wahuni na wanafanya biashara halamu ikiwemo ya kutorosha wanyamapori wetu wakiwa hai, bora aongelee namna ya kutubu dhambi ya wizi wa rasilimali zetu kuliko kuongelea mil. 1 ya kizushi.
 
Yaani Airo ampe Mbunge wa Upinzani pesa kwenda kuchangia harambee katika jimbo linaloongozwa na Mbunge huyo wa CCM? Hiyo Story pelekeni vikao vyenu vya CCM hapa haiuziki. Magazeti mengine badala ya kujikita na vita hii ya madawa ya kulevya yanayosambazwa na viongozi na umasikini wa nchi yanaubeba umbea na uzandiki usio na Tija.

Kama hujui vitu tulia usiandike story za kubuni.
Airo na Wenje wako common kwa mengi wamezaliwa na kukua pamoja kinachowatofaurisha ni vyama tu.
Itikadi zao sawa tu.
Shule iko kwao Wenje jimbo la Airo so usishangae wakishirikiana.
 
Back
Top Bottom