iPad ya Apple
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 322
- 126
Wajinga ndo waliwo!
Lakairo, kijana aliyeanzia kwenye bihashara ya magendo ya kuuza Ngozi, aka advance akaingia kwenye ujambazi wa kupora mifugo, akaingia kwenye bihashara na sasa anamiliki Hoteli pale mwanza mjini, Mungu akumsahau akamfanya Mbunge!
Hahaaaaaa, Mbunge anayejua kubamiza meza za Bungeni tu-mdomoni wamemshonea fuko lenye zipu...hahaaaaa!
kuna mpambe wake humu JF..ajitokeze atueleze kwa nini Don Lakairo ametangaza kutokurudia kutetea kiti chake hata kabla hajatimiza nusu ya muda wa kuwatumikia wanaRorya??? anakimbia nini? ameona nini?? Cheza na wazee wa Green Guard-tutalala hotelini kwako na kula Bureeee!🙂
Hiyo siyo hoja,hoja ni kuwa alimpa Wenje Mbunge wa Nyamagana (Chadema) ili iweje badala ya kuzitoa yeye mwenyewe ambaye shule iko jimboni mwake? Hizo ni siasa chafu tuu,tena kutoka kwa Mbunge mbumbumbu.Kama hujui vitu tulia usiandike story za kubuni.
Airo na Wenje wako common kwa mengi wamezaliwa na kukua pamoja kinachowatofaurisha ni vyama tu.
Itikadi zao sawa tu.
Shule iko kwao Wenje jimbo la Airo so usishangae wakishirikiana.
so so so.. na hivi vi-ingereza vyenu vya kuchapia viraka! Kama wanaelewana sasa kwanini wasimalizane kama walivyopeana? Haya majungu peleka kwenu kapike yakiiva uwapakulie hao wa gazeti la mtanzaniaKama hujui vitu tulia usiandike story za kubuni.
Airo na Wenje wako common kwa mengi wamezaliwa na kukua pamoja kinachowatofaurisha ni vyama tu.
Itikadi zao sawa tu.
Shule iko kwao Wenje jimbo la Airo so usishangae wakishirikiana.
Kwa kweli masisiem mtaweweseka sana.