Habarin wadau .... mi nlkua naulizia suala.la wabunge wale wa chadema almaarufu kama covid19 je bado wapo kisheria pale bungeni huku wakiwa wamevuliwa uanachama? Rais hajaliona hili? Kesi yao ile imefikia wapi?
kweli wewe ni boya kweli kweli ndiyo maana mnambambikizia Mbowe kesi kuwa ni gaidi kwa sababu mchango wa CHADEMA nchini hamuuthamini hata kidogo hata kwenye ilanio yenu ya chama cha mapinduzi chadema siyo chama cha siasa.