Wabunge wa EU watoa tamko kutekwa kwa Polepole

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,612
Reaction score
40,158
Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha linalohitaji hatua za haraka.

Katika taarifa iliyotolewa jana Oktoba 10, 2025, kwa pamoja na wabunge wa EU, Barry Andrews, Robert Biedrón, Udo Bullmann, Michael Gahler, Erik Marquardt na David McAllister, wamesema wana wasiwasi mkubwa kuhusu matukio ya utekaji na ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, wakosoaji wa Serikali na waandishi wa habari nchini Tanzania.

“Tunatoa wito kwa mamlaka husika kuhakikisha usalama wa Polepole na kuchukua hatua madhubuti kumaliza mwenendo wa vitisho na ukiukwaji wa haki za binadamu,” imesema sehemu ya taarifa hiyo.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) pia kulaani tukio hilo na kuitaka Serikali kuchunguza kwa kina hali ya kutoweka kwa Polepole.

Polepole, ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, alitekwa usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, katika makazi yake yaliyopo Ununio, Dar es Salaam.

Tayari Jeshi la Polisi, kupitia Msemaji wake David Misime, limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini ukweli wa kilichotokea.
1760184296983.png
 
1760177892087.png

1760177990512.png

Chanzo. Mwananchi
 
Write your reply...habari mpya bon yai na jj mnyika kuhamia ccm tarehe 25 mwezi huu
 
Aya mabunge huwa yanaongwa baada ya Uchaguzi ukumbuki Nchimbi baada ya kukutana na mablozi wote kimya wafanya biashara wakubwa wa hizo nchi watakuja kuingia mikataba hapa ni matapeli😂😂
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa wao na mali zao tupo nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom