Wabunge wa CHADEMA wamkaribisha Lowassa

Sikiliza dogo, Huku CDM nilidhani fisadi hata akiwa wapi lazima asakamwe!!!!
sasa hili la kumkaribisha ni geni kwangu, hivi kesha tutasimama jukwaani kukemea ufisadi wakati tunaukaribisha? Mungu inusuru CDM!
Mkuu,
Kwa nini unashangaa sana? Kwani wewe ni mgeni katika siasa za Tanzania?

Kwenye siasa za Tanzania, kila kitu kinawezekana!
 
Hama sasa hivi hata mizigo km wewe ipo CDM. Chadema hatuna dawa ya njaa wahi ccm chap.
 
TUNAMTAKA ILI ATUPE SIRI ZENU NA MAFISADI PAPA. UNAFIKILI CDM wajinga. SIO RAHISI KUINGIA CDM vile vile ka fisadi. sasa tunamkaribisha.
 
Mkuu,
Wakati mwingine inabidi ujiandae kwa lile ambalo hulioni kwa macho na katika fikra.

Kwenye siasa za Tanzania lolote linaweza kutokea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…