Wadau naomba kuweka hoja jamvini, tutafakari pamoja tukiwa huru kimtazamo tusifungwe na itikadi za vyama wala ushabiki
Kwanini wabunge wa CHADEMA wasingebaki bungeni wakajenga hoja nasi wa Tanzania tukaona kweli wamefanya wajibu wao na wangeona CCM wanapitisha kiubabe au kiitikadi hapo ndio watoke, wakishatoka ndio wanapata cha kutueleza jamani eeeh tumepambana lakini jamaa wametumia wingi wao bungeni tunahitaji nguvu ya umma sasa kuliko sasa wametishiwa nyau wamekimbia.... Ni mtazamo tuuu
Najua mbunge mahali pake pakusema ni bungeni kama anatoka nje na kulalamika wakati ndani hajasema imekaaje?wangefanya kama walivyofanya katika bajeti mnaweka mawazo na mitazamo yenu mwisho wasiku wakikataa ndio mnatoka, sasa leo wametoka wanalalamika nje mambo ambayo kimsingi walitakiwa kuyasemea bungeni kwa kuwa kuwa wao ndio mahali pao pa kusemea
Nafikiri untambua nini maana ya kuwekwa utaratibu wa Kamati ya muduku ya bunge na kisha msemaji wa kambi ya upinzani kuchangia kabal ya majdala kuanza. katika hoja zilizomo katika hotuba ya msemaji wa kambi ya upinzani Spika amabye anatazamiwa kuwa refa anatuhumiwa kuibeba serikali katika muswada huo tangu mapema wakati muswada huo unajdiliwa kwa mara ya pili. Aidha katika hotuba hiyo lilikuwepo pendekezo kutoka kambi ya upinzani ya kuahirishwa kwa mjadala huo, ambalo Spika hakutaka hata kutoa nafasi ya pendekezo hilo kujadiliwa. Vile vile aliwanyima haki wabunge wa upinzani kutumia haki walizonazo chini ya kanuni kuomba mwongozo na ufafanuzi ya utaratibu uliokuwa ukitumika.
Ni katika mazingira haya ya Spika ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM kutumia madaraka yake vibaya ndiko kulikopelekea wabunge wa upinzani kuonyesha dhamira zao kwa kutoka nje ya ukumbi, Tafadhali soma maoni ya chama cha majaji wastaafu kuhus muswada huo kuwekewa tarehe ya kuanza kutumika yaani 01 Desemba 2011 hata kabal ya kusomwa na kujadiliwa bungeni. Wamesema hatua hiyo ni kieleelzo kuwa Serikali (inayoleta muswada ilikuwa na uhakika 100% kuwa utapitishwa na kuwa sheria ndio maan ikaweka kabisa tarehe ya kuanza kutumika. Kwa maneno mengine kitendo hiki cha serikali ni kulifanya bunge kugeuka mhuri wa kupitisha mambo ovy ovyo kama ilivyotokea.
Wabaki bungeni wafanye nini juzi Mnyika kaomba mwongozo ili achangie kanyimwa, Kafulila kaomba mwongozo achangie kanyimwa sasa unataka wabaki kuwa wasikilizaji bungeni? si bora basi wawe wanakaa kwenye viti vya wageni wakiwasikiliza CCM wanaopendwa na spika?Wadau naomba kuweka hoja jamvini, tutafakari pamoja tukiwa huru kimtazamo tusifungwe na itikadi za vyama wala ushabiki