chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Wabunge wa chama cha mapinduzi wametaka busara itumike, pande zote mbili zikae zijadiliane ili wabunge wa upinzani warudi bungeni kwa kuwa wapinzani walikuwa wakitoa michango ya maana na wakibaki wenyewe hakuna changamoto wala ushauri wa maana kwa serikali kwa kuwa wanaunga mkono kila kitu