Wabunge wa ccm wapowapo tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa ccm wapowapo tu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Safety last, Jul 5, 2011.

 1. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kama kuna kitu wabunge wa ccm wanakosea ni kutofanya utafiti wa yale waongea yao ,kiasi kwamba wanahoja zisizo na mashiko ,leo nimemwona John mnyika akija na mfano wa bajeti ya zambia kuhusu matumizi ya Rais ukianisha kila kitu!
   
Loading...