Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,279
Baada ya juzi usiku kufanyika kikao cha wabunge wote wa CCM jijini Dodoma, inaelezwa kuwa Wabunge wa CCM wamezuiwa na chama kuibua mijadala yenye utata kama wa utekaji ili kulinda hadhi ya chama tawala.
-----------------
Wasiibue mijadala ya utekaji ili kulinda hadhi ya chama! Kuna maswali mengi sana katika hii sentensi.
Kama inafika mahali chama kinawapangia wabunge wake cha kusema, haina maana hata hilo bunge kuwepo. Hakuna dhamira ya kukwamua Taifa hili.