wanamgomea mkubwa wao kisa amewadharau kwa kuwakubalia chadema na kufuta posho, mimi binafsi ningekuwa JK ningevunja bunge halafu wote waliokuwa wabunge wa CCM hawataruhusiwa kugombea tena ubunge kupitia CCM. ova
Tatizo la wabunge wa magamba ni kupongezana kwa anayekwiba na baadae akakamatwa akakubari kosa. Ujinga huu mpaka lini? Naona magamba wanapongezana kwa wizi ulofanywa na wawekezaji ktk gas. Ujinga huu. Dakika kumi pongezi na dakika tano kuchangia. Ujinga huo. Unampongeza ngereja kwa lipi hasa jamani? Magamba finito!!