beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,879
- 6,356
Baadhi ya wabunge wa CCM leo wameongea na waandishi wa Habari wanapinga hatua ya Kambi ya Upinzani kuwasilisha hoja ya kumg'oa Naibu Spika Tulia Ackson.
Mbunge na Naibu waziri katika ofisi ya Waziri Mkuu, Ally Posi ameita mbinu inaotumiwa na kambi ya upinzani ni sarakasi ya kisiasa baada ya hoja zao kushindwa. Ameziita movement za upinzani kama 'exit strategy'.
Mama Tibaijuka amesema Naibu Spika anashambuliwa kwa sababu ya UANAMKE WAKE TU!