Wabunge wa CCM oneni aibu basi

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Asprin nimecheka hadi aibu mbele za watu
Nitumie na ya kutolea basi kwenye line ya voda
 
Duuuuuu! Hapo keshapewa mchele kilo 5, unga kilo 5, na shuka la CCM!
Hivi vitimbwili vyenu ccm ndiyo Wananchi wakawachagua kwa kishindo?Agenda ya Wananchi ilikuwa ni burudani pale kunako October 2020?
Vitu vingine vinatia hasira hadi unatamani utapike nyongo.
 

umesahau ama umejisahaulisha?
wakina zito ni zao la kufkuzwa baada ya kuomba kugombea uenyekiti
 
Nitumie na ya kutolea basi kwenye line ya voda

Tunatumaga kidogo kwa waliotutumia nyingi...... halafu tukituma tunasindikiza na ujumbe "unirudishie ni hela ya kikoba" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…