Hawaaminiki kwa sababu wanatumia huo uwingi wao kwa manufaa ya chama chao na wao binafsi, wanajali zaidi maslahi yao binafsi kwa kutumia huo uwingi wao , wao kwanza taifa baadae hilo ndio tatizo lao wenye akili sasa hawawamini tena, hawaaminiki, Katika hotuba ya jana JK kamsakama sana Tundu Lissu, ni lazima akina Tundu Lissu wawe wakali kwa sababu kikinuka wao hawana pa kwenda itabidi wabaki hapahapa wakati ambapo majitu mengi ya CCM akina Aden RAGE, Mohamed Dewji na wengine siyo wakaaji kikinuka lazima wakimbie wana passport mbili hata kama siyo rasmi, sasa kweli watu wa aina hiyo ni wakuwafuata hata kama ni wengi?