Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,470
- 96,019
Jana nilipigwa na butwaa wakati mbunge mmoja wa CCM alipouliza juu ya ubora wa khanga na madera. Hoja hii iliwachwa muda mrefu huku muongeaji akiisemea kishujaa kabisa utadhani ni hoja ya kimaendeleo.
Na wabunge walio wengi walionekana kuifurahia sana na kiukweli nilishindwa kuelewa nini maana ya wabunge kufurahia ubora wa khanga na vitenge na madera badala ya kujadili hoja zenye muelekeo wa kimaendeleo kwa taifa letu.