chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,289 Reaction score 25,680 Apr 12, 2017 #141 wabunge mawaziri kutetea watekaji kweli viongozi wetu wamelaaniwa.
W Warya_warrior Member Joined Apr 3, 2017 Posts 38 Reaction score 13 Apr 12, 2017 #142 goodluck5 said: Labda mzalendo wa somalia Click to expand... Na wewe ni mzalendo wa wapi?
M MgungaMiba JF-Expert Member Joined Aug 28, 2011 Posts 999 Reaction score 816 Apr 12, 2017 #143 sheiza said: Mbona walivyotekwa kina ulimboka walikaa kimya na hadi leo ukiwauliza ulimboka yuko wapi hao wabunge hawajui?? Ukitoa tukio la Roma nani mwingine ametekwa?? Maana Ben Saanane ilishakatàzwa kuzungumzia na mbowe..na T-shirt mlizonunua mkazivua.. Click to expand... Mwingine ni Bashe, katekwa na maafisa wa Usalama wa taifa na kwenda kuteswa!
sheiza said: Mbona walivyotekwa kina ulimboka walikaa kimya na hadi leo ukiwauliza ulimboka yuko wapi hao wabunge hawajui?? Ukitoa tukio la Roma nani mwingine ametekwa?? Maana Ben Saanane ilishakatàzwa kuzungumzia na mbowe..na T-shirt mlizonunua mkazivua.. Click to expand... Mwingine ni Bashe, katekwa na maafisa wa Usalama wa taifa na kwenda kuteswa!
W Warya_warrior Member Joined Apr 3, 2017 Posts 38 Reaction score 13 Apr 12, 2017 #144 sheiza said: Huyo msomali aende kwao akasaidie peace keeping..siasa za Tanzania za kulazimisha kutekwa hataziweza. Click to expand... Inaonekana wewe ulikimbia umande maana akili za kuzaliwa huna ni bora uende shule labda za vitabu unaweza kupata. Pole sana.
sheiza said: Huyo msomali aende kwao akasaidie peace keeping..siasa za Tanzania za kulazimisha kutekwa hataziweza. Click to expand... Inaonekana wewe ulikimbia umande maana akili za kuzaliwa huna ni bora uende shule labda za vitabu unaweza kupata. Pole sana.
The Khoisan Platinum Member Joined Jun 5, 2007 Posts 18,637 Reaction score 18,268 Apr 12, 2017 #145 SNAP J said: Toa ushahidi wa tuhuma zako juu ya uraia pacha wa Bashe. Click to expand... Hawa watu kuna siku watasema hata watoto wetu waliozaliwa nje ya nchi siyo Raia wa Watanzania!!
SNAP J said: Toa ushahidi wa tuhuma zako juu ya uraia pacha wa Bashe. Click to expand... Hawa watu kuna siku watasema hata watoto wetu waliozaliwa nje ya nchi siyo Raia wa Watanzania!!
Simple F JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 1,301 Reaction score 1,793 Apr 12, 2017 #146 urio f said: Lakini nao kina Roma,maneno gani hayo ya kumtukana viongozi?.Nadhani wanatafuta kutekwa ili wajiongezee umaarufu Click to expand... Kwahyo mtu akimtukana mkuu hamn sheria za kumuadhibu mpk atekwe? Yaan kwako unaona sawa
urio f said: Lakini nao kina Roma,maneno gani hayo ya kumtukana viongozi?.Nadhani wanatafuta kutekwa ili wajiongezee umaarufu Click to expand... Kwahyo mtu akimtukana mkuu hamn sheria za kumuadhibu mpk atekwe? Yaan kwako unaona sawa
W Wantahe JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 297 Reaction score 132 Apr 12, 2017 #147 stemcell said: Kweli msimuige bashe wala nape semeni uwongo na mkishikiwa bastola semeni ni pipi kijiti. Click to expand... Hahaaaaa
stemcell said: Kweli msimuige bashe wala nape semeni uwongo na mkishikiwa bastola semeni ni pipi kijiti. Click to expand... Hahaaaaa