Hebu wasaidie kufafanua unacho kielewa. Faida ya fao la kujitoa na hasara yake usipojitoa.Wafanyakazi sasa ni kulalamika chini kwa chini
FAO la kujitoa NSSF na PPF hakuna
Wamekuja na FAO LA Kukosa ajira..30%
Kwa huu mfumuko wa bei 30% inatosha nini?
Serikali iache kuchezea maslahi ya wafanyakazi
Wabunge wa CCM ndio wakwepa kodi?Wabunge wa ccm ndio wameifanya Tz kuwa duni kila nyanja
Hebu wasaidie kufafanua unacho kielewa. Faida ya fao la kujitoa na hasara yake usipojitoa.
Unajitoa ili ufanye nini? Uzee unaujua? Hebu wasaidie tafadhali.
Wabunge wa CCM ndio wakwepa kodi?
Umeongea point kabisa mkuu. I am sickened with what is going on kwenye jamii yetu. We are the idiot moron. Yaani hatujitambui kabisa. Yaani jamii yetu ni sawa na jamii ya wendawazimu tu.Hawa jamaa hawayafanyi haya yote kwa bahati mbaya. Wanaelewa sana kwamba watanzania ni wasahaulifu sana!!!
Uko sahihi 100%Umeongea point kabisa mkuu. I am sickened with what is going on kwenye jamii yetu. We are the idiot moron. Yaani hatujitambui kabisa. Yaani jamii yetu ni sawa na jamii ya wendawazimu tu.
Si umesema ndio wametufiksha apa.. umesahau kua tumefkiswa apa na wanafiki wanaojfanya viongoz na kuongea ktu waschomansha yaan wanaongea watu walipe kod na wawajbke il hali wao wenyewe hawafanyi hvo?Mmetoka nje ya mada
Rudi kwenye MaDA, FAO LA KUJITOA