Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,504

>>Taarifa toka Lumumba zinadai kuna mkakati wa "kuwashikisha adabu" wabunge wote wa CCM waliomshangilia Rais mstaafu Jakaya Kikwete bungeni kwa kishindo pindi alipohudhuria kuapishwa mwa mkewe mama Salma Kikwete.
>>Taarifa zinadai pia kuwa kumshangilia kule Kikwete kwa wabunge hao kumetokana na kile wabunge wa CCM walichosema ni kuchoka kuisoma namba kutoka kwa utawala wa Muheshimiwa wa sasa hali iliyopelekea kumkumbuka sana mstaafu huyo.