Wabunge VS Madaktari... SAD

Sasa unafananisha kifo na usingizi au kijambo na mharo??daktari na mmbunge ni ardhi na mbingu!!ebu fanya mahesabu yako wewe mwenyewe kati ya mmbunge maji marefu au deo filikunjombe na daktari bingwa wa magonjwa ya mifupa moi nani zaidi halafu unipe jibu!!
 

Unauliza nini wakati picha inajieleza? Unaanza kuongeza maneno mengi for what?
 
yaani inasikitisha nikiangalia hizo pesa zilivyowekwa hapo
 

hapo jibu lipo uchi kabisa haina hata kufikiri unatoa jibu moja kwa moja au naweza kufananisha na yale maswali ya shule za msingi 'Rais wa kwanza wa Tz ni Julias kambarage Nye....
 
Siasa Vs Uhai wa mtanzania asiyekuwa kiongozi ambae hawezikwenda kutibiwa India
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…