Wabunge Susan Kiwanga na Peter Lijualikali waachiwa kwa dhamana

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro imewaachia kwa dhamana wabunge wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Susan Kiwanga, na Peter Lijualikali na wenzao 7 baada ya mahakama kutupilia mbali maombi ya Jamhuri.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…