MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 849
Najua sasa hivi tupo kwenye kikao cha tatu tu cha Bunge na kwamba mpaka ikifika miaka mitano (2015) mengi yata jitokeza. baadhi yenu mnaweza kusema nimapema mno kutafakari wabunge gani mpaka sasa wame jitokeza kama nyota wa Bunge ila kwa maoni yangu mpaka sasa ni hawa wawili.
Zitto Kabwe- Mpende mchukie huyu bwana anajua kupanga hoja na una ona uwepo wake bungeni iwe positive au negative. Pia ameonyesha uelewa mzuri wa kanuni za Bunge (zaidi ya hata speaker) pale alipo mtetea mbunge mwenzio wa Chadema wiki iliyo pita.
Halima Mdee- Mdada anae onyesha kwamba wanawake wanaweza bila upendeleo maalumu. Ana pangilia hoja vizuri na ana pick her fights vizuri.
January Makamba- Najua wengi humu ndani wanaweza wasikualiane nae au hata kumpenda. Ila siyo siri ni mmoja wa vijana wanao sikika bungeni na ana jitahidi kadri iwezekanavyo uwepo wake Bungeni uonekane.
Wale niliyo tegemea impact kubwa zaidi toka kwa Bungeni lakini mpaka sasa wame kuwa kimya:
John Mnyika- Huyu jamaa siyo siri ana hulka ya kupendwa ila inaelekea approach yake ni ya ukimya zaidi yaani yeye ni mtu wa behind za scenes zaidi. Nili tegemea makeke zaidi toka kwake kwenye vikao vya bunge.
Regia Mtemi- Huyu ni mwanaJF mwenzetu wa muda mrefu. Ali pambana sana mpaka kuja kuishia kupewa ubunge wa viti maalumu. Ila tokea apate ubunge naona kuna makosa ya kisiasa ana fanya ambayo yata kuja kumcost baadae na hata kupunguza nafasi yake ya kurudi Bungeni.
Freeman Mbowe- Kama kiongozi wa upinzani nilitegemea amake headlines zaidi ila so far kama mkinya kuliko nilivyo tarajia. Ina wezekana ni mbinu yake ila kadri siku zinavyo enda nategemea sauti yake ita sikika zaidi.

Jaman ee TUNDU LISU NIKIFAA BINAFSI NAMKUBALI MAMA MAKINDA ANAMUOGOPA MPAKA CKU HZ MAMA ANAOMBA URAFIKI. Hahahaha!
yani kitendo cha kutokuanza kumtaja Tundu Lissu tu,umenipa mashaka na kuamini moja kwa moja ulikuwa umemlenga kumtaja huyu wa tatu tu,hata zitto na mdee umewataja basi tu.Ningeomba uangalie kikao kijacho vizuri halafu ndio uje kutoa orodha yako tena kwenye hi thread yako kwa usahihi na bila unazi.
Nakumbuka mara tu alipochaguliwa kwenye kiti cha uspika huyu mama alianza kwa kuhubiri kuwa wabunge wote lazima wasome na kuzijua 'kanuni za bunge' na nina uhakika kichwani kwake alikuwa anaamini angewaumbua watu (Lissu & co) kwa kutumia hizo kanuni. Shida inakuja pale watu kama Lissu, Mnyika, Halima Mdee ambao ni wanasheria kwa taaluma wanampa LIVE kwamba sheria au kanuni yeyote haisomwi kama riwaya lazima isomwe sambamba na sheria mama -KATIBA. Hapo sasa..... mama itabidi apate mawani nyengine.
Sugu namshauri ile bendi yake ya matusi aliyoizindua pale kwenye ukumbi wa musizi wa mheshimiwa Mbowe baada ya kupewa ridhaa na wanambeya auendeleze kama anadhani utalijenga taifa ambalo lina dimbwi la mafisadi. sisi kule kwetu tunasema "Umufa wi mbwebwe unyobwa wugishushe" hii sentensi Zitto huifanyia kazi mara nyingi ndio maana hatoisha kung'aa bungeni.
Hao ndugu zako wasahau waambie wasubiri next time may be 2015 or 2020 vyama vyao vitakapokuwa kambi rasmi ya upinzani.ila tundu yeye kajitahidi sana.Ama mbowe ameonesha udhaifu mkubwa wa nafasi aliyoing'ang'ania ya kuongoza kambi ya upinzani, natamani enzi za hamad rashid.mbowe kung'aa kazidiwa na mrema?!!
Watu kama Mr.Mak ndio watumwa wa Msekwa kuja humu JF kuitetea CCM unategemea nini.ninawasiwasi hata ulimi wako umeupaka mkorogo ndiyo maana unatoa rotten vapour
Mbona umemng'ang'ania Sugu wakati sisi vijana wa Mbeya tunamuona anafaa.Mboma wabunge wengi tu wa chama tawala hawajawahi kuchangia tangu waingie Bungeni na huwasemi.Sugu namshauri ile bendi yake ya matusi aliyoizindua pale kwenye ukumbi wa musizi wa mheshimiwa Mbowe baada ya kupewa ridhaa na wanambeya auendeleze kama anadhani utalijenga taifa ambalo lina dimbwi la mafisadi. sisi kule kwetu tunasema "Umufa wi mbwebwe unyobwa wugishushe" hii sentensi Zitto huifanyia kazi mara nyingi ndio maana hatoisha kung'aa bungeni.
Mbona sasa anamwangusha aliyemtuma!Watu kama Mr.Mak ndio watumwa wa Msekwa kuja humu JF kuitetea CCM unategemea nini.