Wabunge na vikuku

Wabunge na vikuku

akajasembamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
1,193
Reaction score
1,808
Sidhani kama shida,dhiki na matatizo ya wananchi yanakumbukwa kama kuvaa hivyo VIKUKU na urembo mwingine. They are representing us!
 
Ndio matatizo ya kuteua wabunge wasio na maadili!!Ina maana kupendeza heleni,bangili ,shanga na mikufu havitoshi???Waache ushamba na mambo ya kiswahili-Huko ni kutafuta umaarufu tu
 
Hivyo vikuku wao wavae hata kumi kumi ..ni haki yao wapendeze vile wanavyojisikia
Tunachotaka tuone perfomance yao katika kazi tulizowatuma mjengoni
 
Big up Firstlady1. Tunachotaka ni performance. Wangapi wanavaa suit za hariri na viatu vya heshima bila vikuku lakini maadili zero. Wasiokuwa na vikuku au vibata ndio mafisadi wakubwa. Tuwaache wadada wang'are, lakini siyo wang'are kwa vikuku tu bali pia kwa hoja na kauli mujarabu huko jengoni.
 
Sidhani kama shida,dhiki na matatizo ya wananchi yanakumbukwa kama kuvaa hivyo VIKUKU na urembo mwingine. They are representing us!

First impression lasts longer...Hakuna wawakilishi hapa.... wauza nyago na wapiga makelele tu!
 
article-1362266-0D70E8A8000005DC-794_468x286.jpg

Hata huyu ni mbunge na alitinga kwenye kikao na hereni kwenye masikio
 
article-1362266-0D70E8A8000005DC-794_468x286.jpg

Hata huyu ni mbunge na alitinga kwenye kikao na hereni kwenye masikio

Lakini huyu Sonko, mbunge wa Nairobi, alifukuzwa bungeni kwa uvaaji huu mkuu. It was only last week, I can remember.
 
Ndio matatizo ya kuteua wabunge wasio na maadili!!Ina maana kupendeza heleni,bangili ,shanga na mikufu havitoshi???Waache ushamba na mambo ya kiswahili-Huko ni kutafuta umaarufu tu

Wivu wa kike huo
 
hata wavae vimbuzi na vibata sawa, as long hawaendi kujaza vyoo na kukomba posho na kuwa viburudisho vya wanaume bungeni
 
poa tu! ila tujiulize hao vikukuz waliingiaje bungeni? kama walichaguliwa na wananchi ni nzuri sana,kama waliteuliwa basi ujue vikuku vyao vinatumika kama inavyotafsiriwa na wengi.
 
Mie naamini kwamba kuwa kiongozi ni lazima unakuwa kioo cha jamii na hivyo watu watategemea kuwa utakuwa mfano wa kuigwa. Pia ikumbukwe kwamba kila vazi au uvaaji una sehemu zake. Mbunge kuvaa chain mguuni I don't think it is proper. Tutawakanyaje mabinti zetu wakivaa vikuku kuelekea nursery school?
 
Jamani sioni tatizo la vikuku tunachotaka ni je? wanafanyaje kazi? wanawake tumeambiwa tujipambe, hata kwenye biblia vikuku vinaruhusiwa watu wa biblia zamani walivaa, nimesahau mstari nikikumbuka nitawaletea.
 
Sioni tatizo kwa hizo shanga za miguu. Ni utamaduni wa kimasai uluoboreshwa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom