Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,432
- 73,078
Sasa ni dhahiri kuwa Ukawa walikuwa na haki kukataa Spika kuwachakachulia wabunge watakao ingia kwenye kamati zile ambazo huwa zinasimamiwa na upinzani kisheria. Kamati hizo ni PAC na ile ya Hesabu za serikali za mitaa.
Ni wazi kuwa huu mchezo wa rushwa kwa wajumbe wa kamati za bunge sio mpya Bali wa kipindi kirefu maana kwa kamati hizi mpya hata miezi sits bado wasingekuja na mikakati ya kudai rushwa.
Ukawa kwa sasa hawataki zile kamati zao ziendeshwe na watu walarushwa ili kuonyesha tofauti maana wabunge wanajuana na wanataka weledi ndani ya hizo kamati.
Ni wakati sasa Spika ashinikizwe kusikiliza hoja yao vinginevyo tutaamini kuwa naye anapata mgawo kutoka kwa watu kama Lugola ndio maana anawapanga kamati zilezile