wabunge na division one

wabunge na division one

HERBERTH

Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
16
Reaction score
2
jana mbunge mmoja wa bunge la tanzania ajinadi kwa kupata division one ya hesabu. Hv kweli kama mh mbunge anaye wawakilisha watu anachemka kutofautisha division one na A kuna haja ya kuwemo bungeni!
 
  • Thanks
Reactions: KUN
hivi ni kweli kama waziri anashindwa uzalendo kutofautisha kati ya zimbabwe na zanzbar anafaa kuendelea kuwa waziri!
 
Du mbunge yup huyo?kwel darasa hakuna,okey labda ni kakosea bahat mbaya!
 
Atakuwa mwenyekiti wetu mwenye Zero form 4 aka Dj
 
Back
Top Bottom