johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Wabunge wa Bunge la JMT watalipwa kiinua mgongo cha sh. 338,000,000 kila mmoja pindi watakapomaliza muda wao hapo July. Source Jambo leo
Wabunge wa Bunge la JMT watalipwa kiinua mgongo cha sh. 338000 kila mmoja pindi watakapomaliza muda wao hapo July. Source Jambo leo
Ha ha ha ha ha ! Ameshasahihisha mkuu.Huyu nayeee...! Laki tatu tuu.
Nimerekebisha mkuu, ahsante!Huyu nayeee...! Laki tatu tuu.
hebu rekebisha takwimu mkuu!
Wabunge wa Bunge la JMT watalipwa kiinua mgongo cha sh. 338,000,000 kila mmoja pindi watakapomaliza muda wao hapo July. Source Jambo leo
Wabunge wa Bunge la JMT watalipwa kiinua mgongo cha sh. 338,000,000 kila mmoja pindi watakapomaliza muda wao hapo July. Source Jambo leo
Wabunge wa Bunge la JMT watalipwa kiinua mgongo cha sh. 338,000,000 kila mmoja pindi watakapomaliza muda wao hapo July. Source Jambo leo
Hiyo ni figure tu Mkuu. Habari za uhakika in kwamba wana madeni haoo! Yaani wamekopa hadi hicho kiinua mgongo!