As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?.
zitto
Mbowe
Regia
Lema
Msigwa,peter
kwa leo tuanze na hawa objectively.
hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.
As far as wamekaa bungeni toka uchaguzi uishe mpaka leo ni mambo gani yamefanya na wabunge hawa kwa majimbo yao na TAIFA kwa ujumla?.
zitto
Mbowe
Regia
Lema
Msigwa,peter
kwa leo tuanze na hawa objectively.
hii inatoa changamoto na feed back toka kwa wananchi,kwa kiasi gani wa bunge hawa wametimiza wajibu wao wa ki bunge.
Umetumia kigezo kuwataja? naona umeingia JF na kizebuzebu kweli
Wewe huhitajiki kabisa humu hata ukitoweka Mwaka mzima hakuna wakukumiss zaidi yakufurahia kutoweka kwa PUMBA zako humu kwenye forum.Kila nikipost Mods wanatoa posts zangu!Haya ngoja niwasifie Chadema Oooyeeeee!Dr Slaa, ndio Rais wa Tanzania, haya mmefurahi!! Sirudi tena kwenye Thread yenu ya kibaguzi
[/quote]ndugu yangu.siku sema hawa kufanya kitu chochote kama ambavyo sikusema wamefanya chochote,nimeweka mjadala wa wazi,ili watu kuwajadili wabunge hawa kwa utendaji kazi wao na kasi yao katika kutimiza majukuu kwa kuzingatia majukumu yao kikatiba...kuhusu wabunge wa ccm na ufadhili ni mjadala mwingine na unajadilika kabisa,ila kwa leo lets focus on this mps...
Pia naomba tutofautishe uwezo mkubwa wa kuongea na uwezo wa kutenda kazi,mara nyingi vinatuchanganya hasa mtu anapo kua anaweza kujieleza sana tuna sahau kujadili uwezo wa kiutendaji.
​ndg yangu fringe unanipa wasiwasi kama kweli unajua wajibu wa mbunge kwa jimbo lake na taifa. kama kweli unasikiliza bunge basi hao uliowataja wametimiza bila shaka wajibu wao kwa taifa na kwa majimbo yao. Kazi ya mbuge ni kuwakilisha wananchi waliomchagua na sio vinginevyo. Kumekuja utapeli wa wagombea wa ccm kujifanya wao nifadhali wa wanachi. Na ndio maana wanapo omba kura wanatoa ahadi za nitajenga... Nitatoa hiki. Matokeo yake wanaanza kukimbilia posho zisizo na tija. Unachopaswa kujua ni kwamba maendeleo yote ya nchi hii yanapaswa kuletwa na serikali iliyoko madarakana na wabunge kazi yao ni kusimamia serikali na kupelaka kilio cha wananchi kwenye serikali ili serikali iwajibike. Maana walipa kodi wakubwa ni wananchi na wana paswa kupelekewa maendeleo na serikali inayo chuka kodi yao.
Nitashangaaa kama huaona mchango wa uliowataja.
Swali lingekuwa '' nini jk, pinda na serikali yao wamewataendea watanzania? Kwa kuwa amekusanya kodi za wananchi na bado wanawatapeli maendeleo.
ndugu ichawinga, hivi haayo maneno unayatumia kwa sababu umeona sehem yana tumika? webu justify basi kwa nini unahisi nimetumwa? kumtaja zitto,mbowe,lema,msigwa au regia? tuache majungu basi tujikite kwenye hoja zenye mashiko,kila siku tuna kimbia kujadili mambo kwa kisingizio kua "ametumwa" huu ni ugonjwa.Naona umetumwa na hao wanao jivuia gamba hivi huna cha maana cha kuongea hata uwaonei huruma watu wa nyamongo na sehemu nyingione ya nchi wanavyo teseka.... unaonekana kizabi zabina huna mpya............!

ndugu ichawinga, hivi haayo maneno unayatumia kwa sababu umeona sehem yana tumika? webu justify basi kwa nini unahisi nimetumwa? kumtaja zitto,mbowe,lema,msigwa au regia? tuache majungu basi tujikite kwenye hoja zenye mashiko,kila siku tuna kimbia kujadili mambo kwa kisingizio kua "ametumwa" huu ni ugonjwa.
Nyamongo,mwanza,north mara ni mambo ya msingi kama lilivyo hili pia,lakini tofauti yake ni kwamba the former ni matukio while the rest ni agenda za kudumu...sipendi kua mtu wa matukio tukio,sababu kila siku uta acts on behind wakati maafa yamesha tokea.think criticallyNaona umetumwa na hao wanao jivuia gamba hivi huna cha maana cha kuongea hata uwaonei huruma watu wa nyamongo na sehemu nyingione ya nchi wanavyo teseka.... unaonekana kizabi zabina huna mpya............!
mkuu paka jimmy, naongezea na hi list
rostam.azizi
capten komba
idd azaani
nyambari nyangwine
kirobto

vonix,
kwenye red. walio jiunga juzi hawapaswi kuweka threads? JF rules unazijua vizuri na pa1 na ukongwe wako wa toka april? ...uovu wa wabunge wa CCM hau justify uzembe wa cdm..kua argumentive basi,kutoa low hivi napata shaka juu ya ukongwe wako hapa kwa ma great thinkers.
Nimeweka thread ipo open endend kabisa,lakini unavyo jibu as if niwe walaaumu wabunge hawa hawakufanya kitu majimbon na taifa kwa ujumla...
Huu ugonjwa wa kufikiri kila anae toa thread juu ya chadema ametumwa unautoa wapi?...put your mind out of box... be argumentive bro/sis.Thread kama hii kajiunga jf juzi tu,5/7/11 laaaaahh,wewe ndio unatakiwa utujuze hapa jf wabunge wa ccm waolala bungeni na kupinga kila hoja tena za msingi toka upinzani wanawatendea haki watanzania??umetumwa na nape ulete upupu wako hapa janvini inawezekana hujavuliwa magamba kichwani mwako.
:A S thumbs_up: hili ndilo jibu sahihi 100%Labda tuanze na wafuatao kwanza:
JK
NAPE
NGELEJA
TYSON
MWANJELWA
PINDA!
Wengine tutafuatia taratibu!
Tatizo la kuwa taa.hira. matokeo yake ndo haya. Ni kutukana tu, huenda hata mama na dada zako wanatembelea JF. Be smart. If not mirembe panakufaa sana.K.u.s.o.domaiziwa bwana, kuna haribu akili! Ona ulivyo sasa!