Mohamed R
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 2,232
- 426
Hii ni 2015 baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa,
Dr. Slaa: Chenga twawala lakini twafungwa siye.
Ni kweli kabisa, wenye kuiba fedha nyingi kupitia EPA, IPTL, DOWANS, MEREMETA na wengineo tunao uraiani na ni wasafi lakini wezi wa kuku na simu za mkononi wako magerezani. Hapa kazi ipo.
Kwa faida yako hebu soma hapa Solomon Mahlangu: Fighter Against Apartheid na Martin Luther King Speeches | Infoplease.com